Event Type : Training
Maximum Capacity : 105 People
Region : Mwanza
Location : Hoteli ya Gold Crest
Start Date : 01-09-2025
End Date : 05-09-2025
Event Time : 08:30:00
Event Description:
Mfuko umeandaa mafunzo kwa Madaktari kutoka mikoa ya Mara, Simiyu, Mwanza, Shinyanga, Geita na Kagera ili kuwajengea uwezo wa kuwatambua na kuwahudumia wafanyakazi wapatao ajali au magonjwa yatokanayo na kazi, na kufanya tathmini za ulemavu (Impairment Assessments); na namna ya kutambua magonjwa yatokanayo na kazi (Occupational Diseases Diagnosis).
Mfuko umeandaa mafunzo kwa Madaktari kutoka mikoa ya Mara, Simiyu, Mwanza, Shinyanga, Geita na Kagera ili kuwajengea uwezo wa kuwatambua na kuwahudumia wafanyakazi wapatao ajali au magonjwa
yatokanayo na kazi, na kufanya tathmini za ulemavu (Impairment Assessments); na namna ya kutambua magonjwa yatokanayo na kazi (Occupational Diseases Diagnosis).
© Workers Compensation Fund. All rights reserved.