MAFUNZO KWA MADAKTARI JUU YA KUFANYA TATHMINI, KUTAMBUA MAGONJWA YA KAZI NA KUWAHUDUMIA WAAJIRIWA WANALIOATHIRIKA NA MAGONJWA AU AJALI ZA ZITOKANAZO NA KAZI
Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), umeandaa mafunzo kwa Madaktari kutoka mikoa ya Dar Salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara ili kuwajengea uwezo wa kuwatambua na kuwahudumia wafanyakazi wapatao ajali au magonjwa yatokanayo na kazi, na kufanya tathmini za ulemavu (Impairment Assessments); na namna ya kutambua magonjwa yatokanayo na kazi (Occupational Diseases Diagnosis).
MAFUNZO KWA MADAKTARI JUU YA KUFANYA TATHMINI, KUTAMBUA MAGONJWA YA KAZI NA KUWAHUDUMIA WAAJIRIWA WANALIOATHIRIKA NA MAGONJWA AU AJALI ZA ZITOKANAZO NA KAZI