Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), umeandaa mafunzo kwa Madaktari kutoka mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara ili kuwajengea uwezo wa kuwatambua and kuwahudumia wafanyakazi wapatao ajali au magonjwa yatokanayo na kazi, na kufanya tathmini za ulemavu (Impairment Assessments); na namna ya kutambua magonjwa yatokanayo na kazi (Occupational Diseases Diagnosis).
© Workers Compensation Fund. All rights reserved.